Ishine Capsule
Viungo:
Polygala Tenuifolia, Herba Gynostemmae Pentaphylli, Semen Pruni
Kazi Na Faida Zake
- Inaleta usingizi na kuboresha usingizi
- Huondoa matatizo ya usingizi kama kutopata usingizi (insomnia), usingizi wa shida
- Hutuliza mfumo wa neva
Yafaa Kutumiwa Na:
- Watu wenye matatizo ya usingizi
- Watu wanaokosa usingizi mzuri
- Watu wenye wasiwasi, msongo wa mawazo, uchovu sugu na mfadhaiko
.
Maelezo Muhimu:
Usingizi unaweza kuwa ni kipimo cha afya ya mtu kwa ujumla. Mara nyingi, watu wenye afya nzuri hupata usingizi mzuri, kwa upande mwingine matatizo ya kupata usingizi yanayojirudiarudia hutoa ishara ya matatizo ya mwili au akili yaliyojificha, madogo au makubwa. Kupata usingizi mzuri ni muhimu kwa afya nzuri ya mwili na ili kuwa na hisia nzuri.
Ufanyaji kazi wa mwili katika kurekebisha kiwango cha usingizi hupungua na umri. Matatizo ya usingizi kama insomnia, usingizi wa shida au wenye ndoto mbaya si tu ni ishara ya dosari za kiafya bali hupunguza kinga za mwili, husababisha ajali, hupunguza utendaji kazi, na husababisha migongano ya kimahusiano.
. Polygala Tenuifolia
Polygala Tenuifolia hutuliza neva, huchochea usingizi, hupunguza ndoto na huongeza uwezo wa akili.
. Herba Gynostemmae Pentaphylli
Herba Gynostemmae Pentaphylli ina mercaptan na zaidi ya aina 50 za saponins, ambayo huleta usingizi mnono, hutuliza hisia, huongeza ushiriki wa kiakili, huboresha utendaji kazi wa akili na kuongeza kumbukumbu.
IShine Huboreshaje Usingizi?
Green World IShine Capsule hurekebisha usingizi, huufanya usingizi mwepesi kuwa mzito na kukufanya upate usingizi haraka. Ina matokeo mazuri juu ya tatizo la kukosa usingizi, usingizi unaovurugwa na ndoto, na kuamka ghafla usiku.
IShine Capsule huupa mfumo wa neva virutubishi, husaidia ukuaji wa seli za neva, huboresha mzunguko wa damu, hukarabati neva, huweka uwiano mzuri kati ya kusisimka na kutulia kwa seli za pallium, hurekebisha upashaji taarifa wa celebral neurotransmitter, huondoa uchovu, huchochea usingizi, na huboresha kumbukumbu.
Matumizi ya IShine Capsule dakika 10-15 kabla ya kwenda kulala huweza kuboresha usingizi kwa kiwango kikubwa.
<<<<< MWANZO